Select your language

Namna ya Kuomba

Sehemu hii inafafanua hatua za Mamlaka za Maji Safi na Maji Taka (UWSSA) kutuma maombi Programu ya Mikopo ya Uwekezaji na Msaada wa Utekelezaji (IFF OBA).
HATUA YA 1: UWSSA inapaswa kujaza Fomu ya Kuonyesha Nia ya Mradi na kuituma kwenye anwani Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona..
Fomu ya Kuonyesha Nia ya Mradi inaweza kupakuliwa HAPA (kiungo)


HATUA YA 2: Endapo mradi umechaguliwa katika hatua ya awali, Timu ya Mradi wa Mikopo ya Uwekezaji na Msaada wa Utekelezaji (IFF OBA) wataijulisha UWSSA.
Na UWSSA itaombwa kujaza Fomu ya Pendekezo la Mradi na kuituma kwenda Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona..


Fomu ya Pendekezo la Mradi inaweza kupakuliwa HAPA (kiungo)
Iwapo kutatokea maswali wakati wa ujazaji wa Fomu ya Pendekezo la Mradi, wasiliana na Timu ya (IFF OBA) kwa simu namba (+255 22 2452033) au kwa anuani pepe (Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.).